Header Ads

Picha: Mke wa Mtu Anaswa Akijiuza Kusaka Pesa za Christmass

Tabia ya wanawake kujiuza kwa kisingizio cha kusaka fedha kwa ajili ya Sikukuu ya Krismasi imewatokea puani wanawake zaidi ya kumi akiwemo mke wa mtu baada ya kunaswa mawindoni na kutiwa nguvuni.

Tukio hilo la aibu lilitokea katika msako maalum wa polisi uliofanyika katika eneo ‘korofi’ la ltinga, Msamvu Kata ya Mwembesongo mkoani Morogoro, wikiendi iliyopita.

No comments

Powered by Blogger.