Header Ads

Pinda Apokea Mabehewa Mapya ya TRL

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wake, Dr. Charles Tizeba kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye bandari ya Dar es salaam Desemba 8,2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments

Powered by Blogger.