Header Ads

PICHA: WAZIRI MIZENGO PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda (kushoto kwake) walizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014.

Aidha, Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio nchini Qatar, Mzee Said alisoma risala katika mkutano kati ya Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda na watanzania waishio Qatar.

Hata hivyo, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda walizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa
katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano huo.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



No comments

Powered by Blogger.