Header Ads

MENGI AKUTUKANWA KISA LOWASA, AMUWEKA HADHARANI MBAYA WAKE NA UJUMBE HUU





Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku  Lowassa alipotangaza nia, Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa wapo watu walimtukana sana, haswa mtu mmoja ambaye namba yake kaiweka hadharani.

Kwanini Mengi atukanwe? Mbona ni vituo vingi vilikuwa Live? Mbona hata watangaza nia kama Wassira na Mwigulu ITV walirusha Live?



No comments

Powered by Blogger.