Header Ads

Jokate Afunguka Ukweli Kuhusu Uhusiano na Alikiba

11273013_959166344149458_341636304_n

Kila mtu anaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi licha ya kupost tu picha zao kwenye Instagram na hivyo kukuza zaidi tetesi hizo.

Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV.
“Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali. Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be around with the best,” alisema Jokate kujibu swali la uhusiano alionao na King Kiba.

“Mimi kwanza ni mchanga, kwahiyo nakaa naye karibu ili niweza kujijenga kimuziki, that is it.”
Sounds kama si jibu tunalohitaji kulisikia!

No comments

Powered by Blogger.