Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akijiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga
Kura kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya
Kibaoni wilayani Mlele Mei 25, 2015. Kushoto ni Mwandikishaji wapiga
kura, Auxilia Gaspar. Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada
ya kujiandikisha katika. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Dkt Ibrahim
Msengi na Kushoyo ni
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Julius
Malaba.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akichuliwa alama za vidole wakati
alipojiandikisha katika kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Shule ya
Msingii Kakuni katika kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele Mei 25, 2015.
Kulia ni Mwandikishaji wapiga kura, Happiness Isaya. Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akichuliwa alama za vidole wakati
alipojiandikisha katika kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Shule ya
Msingii Kakuni katika kijiji cha Kibaoniwilayani Mlele Mei 25, 2015.
Kulia ni Mwandikishaji wapiga kura, Anna Gale.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Post a Comment