Header Ads

MAJAMBAZI SUGU WAKAMATWA WAKITAKA KUIBA BENKI YA NMB - DAR

Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo Sinza-Mori, Dar es Salaam.

Tukio hilo limetokea mchana wa leo
katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini Dar ambapo majambazi hao walikamatwa wakiwa katika
harakati za kutekeleza tukio hilo.

Aidha, Majambazi hao baada ya kukamatwa wamepelekwa katika kituo cha Polisi Mabatini kilichopo Kijitonyama jijini Dar.

No comments

Powered by Blogger.