Header Ads

MASHABIKI LAZIO WAKINUNISHA BAADA YA KIPIGO CHA MABAO 2-1


Kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa AS Roma kimeonyesha kuwaudhi ile mbaya mashabiki wa Lazio.

Mashabiki hao wamefanya vurugu kubwa mitaani ikiwemo kupambana na askari Polisi mara baada ya kipogo hicho.
 
Timu hizo zinapokutana ni sawa na Yanga na Simba na Lazio walikuwa na matumaini makubwa ya ushindi lakini mambo yakaenda tofauti.















No comments

Powered by Blogger.