Header Ads

Picha; Jezi Mpya ya Manchester United Msimu Ujao

Manchester United watauanza msimu ujao wa mwaka 2016/2017 kwa jezi mpya.

Aidha, Uzi huo uliotengenezwa na kampuni ya Adidas ukiwa ni
mkataba mpya na kampuni hiyo baada ya kampuni ya Nike kumaliza mkataba na klabu hiyo.

Itazame jezi hiyo hapo chini na utoe maoni yako!

No comments

Powered by Blogger.