Header Ads

Manchester Derby Kutikisa Ligi Kuu Kesho

Ligi Kuu ya Uingereza inaendelea wikiendi hii ambapo mtanange mkali ni kat ya Manchester
United na Manchester City (Manchester Derby) ambao utapigwa katika dimba la Old Trafford siku ya Jumapili.

Pia Chelsea watamenyana na QPR mjini London huku Liverpool wakitoana jasho na Newcastle kwenye uwanja wa Anfield siku ya Jumatatu.

Mechi nyingine;

Jumamosi 11 Aprili
14:45 Swansea v Everton
17:00 Southampton v Hull
17:00 Sunderland v Crystal Palace
17:00 Tottenham v Aston Villa
17:00 West Brom v Leicester
17:00 West v HamStoke
19:30 Burnley v Arsenal

Jumapili 12 Aprili
15:30 QPR v Chelsea
18:00 Man Utd v Man City

Jumatatu 13 Aprili
22:00 Liverpool v Newcastle

Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki

No comments

Powered by Blogger.