Sotloff Baada ya kuchinjwa na kundi la ISIS, Wazazi watoa kauli yao

Steven Sotlof
Familia ya mwandishi wa habari
Steven Sotloff hatimaye imezungumza kwa mara ya kwanza tangu mtoto wao
auawe na wapiganaji wa dola ya Kiislam IS na picha za mauaji hayo
kuonyeshwa.
Akizungumza kwa niaba ya familia hiyo, Barak Barfi kutoka taasisi ya
America Foundation think tank akiwa nyumbani kwao Pinecrest, Florida amemuelezea Sotloff kuwa ni mtu aliyefanya kazi yake kwa niaba ya wanyonge wa Mashariki ya kati.

Steven Sotlof
Hata hivyo wazazi hao wa Steven walitoa heshima zao pia kwa kifo cha James Foley aliyechinjwa pia na wapiganaji hao wa dola ya Kiislam ya ISIS.
SOURCE: BBC
Post a Comment