Video: Kanye West na Kim Kardashian wazomewa kwenye Paris Fashion Week

Kim Kardashian na Kanye West wameendelea kuwa na wakati mgumu jijini Paris. Awamu hii baada ya kuchelewa kufika kwenye Paris Fashion Week walijikuta wakizomewa. Tazama.
Katika hatua nyingine nguo ya Kim ilikuwa ni utata mtupu!!
Post a Comment