Header Ads

Diamond Kufanya Show Kwenye Uzinduzi Wa Big Brother Africa 2014.

Diamond Platnumz ametajwa kuwa kwenye orodha ya wasanii watakao fanya show kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa 2014.Uzinduzi huu unafanyika September 7 2014 huko Afrika Kusini.
Fahamu baada ya show yake South Africa Diamond atarekodi kwenye Coke studio Kenya na baadae kwenda Uingereza kwaajili ya Show ya Africa Unplugged

No comments

Powered by Blogger.