Header Ads

STARS YAANZA MAZOEZI KUIWINDA BURUNDI, ULIMWENGU, SAMATTA NDANI


Taifa Stars imeanza mazoezi leo kujiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi.
Mechi hiyo ya kirafiki iliyo kwenye kalenda ya Fifa itachezwa wiki ijayo mjini Bujumbura.
Safu ya ushambuliaji ya Burundi inaongozwa na Amissi Tambwe wa Simba na tayari washambuliaji wawili nyota wa Tanzania, Thomas Ulimwengu na Mbwana Samatta wameishawasili.
Stars chini ya Mart Nooij, awali ilikuwa ikipige na Morocco, lakini sasa watakipiga na Burundi.

Stars itakuwa inajifua kwenye Uwanja wa Gymkhana  jijini Dar es Salaam, tayari kwa mechi hiyo.

No comments

Powered by Blogger.