Header Ads

Lady Jaydee Kuwa Balozi Wa Kampeni Ya Chagua Maisha.

jide 1

Msanii Lady Jaydee amechaguliwa na hospitali ya Maria Stops kuwa balozi wa kampeni ya Chagua Maisha. Kampeni hii inahamasisha Uzazi wa Mpango na kupinga mimba za utotoni.
Lady Jaydee amesema kampeni imempa nafasi ya kukutana na vijana na kuwapa elimu kuhusu uzazi wa mpango. Jide kupitia sanaa yake ataweza kutoa nyimbo ilikufikisha elimu hio kwa jamii.
jide 0 
jide 2
jide 4

No comments

Powered by Blogger.