RONALDO AFUNGUA MTIMA WAKE; "MAN UNITED IPO MOYONI MWANGU, NATAMANI NIRUDI"
MWANASOKA
Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo amesema kwamba Manchester United ni
klabu ambayo ipo moyoni make na anatamani siku moja are jee kucheza
tena.
"Kila
mmoja anajua hilo — nimesema hivyo mara nyingi. Manchester ipo moyoni
mwangu. Nimeacha marafi wengi huko, mashabiki wanavutia sana na
ninatamani siku moja ningerudi,".

Post a Comment