PICHA: Jumba la Big Brother Lateketea kwa moto uzinduzi waahirishwa
Hakuna mtu aliyumia wala kupoteza maisha na mpaka sasa haijajulikana chanzo cha moto ni nini. M-Net na Endemol wameshaanza kutafuta jumba la kufanyia show ya mwaka huu na kutafuta vifaa vipya baada ya camera na editing instruments kuungua moto.



Post a Comment