Header Ads

UP DATES ZA ULAYA




1.VMA Awards zinafanyika leo 24/8/2014 na Nicki Minaj anategemewa ku-perform wimbo wake wa Anaconda.

2.Kardashian amtega Usher kwenye tuzo za MTV VMA, ashindwa kuficha
Kivazi cha Kim Kardashian kinachoonesha mwili wake katika tuzo za MTV VMA 2014 zilizofanyika usiku wa kuamkia leo kilimtega mwanamuzi Usher Raymond ambaye alishindwa kufanya siri.

4.Usher alishindwa kuficha ama kuangalia kwa kuibia baada ya Kim K kumpita kwenye red carpet na akaamua kugeuka tena bila kujali paparazzi waliokuwa mbele yake.



4.MTV VMA 2014: usiku wa kuamkia leo ndio Tuzo za video za muziki zinazotolewa na MTV (MTV Video Music Awards 2014) zilifanyika cheki orodha kamili ya washindi

5.Tuzo za video za muziki zinazotolewa na MTV (MTV Video Music Awards 2014) zilifanyika usiku wa kuamkia leo California, Marekani.
Miley Cyrus aliibuka na tuzo nzito zaidi ya ‘Video ya Mwaka’ kupitia wimbo wake ‘Wrecking Ball’.

6. Angalia orodha kamili:
VIDEO OF THE YEAR: Miley Cyrus, “Wrecking Ball”
BEST FEMALE VIDEO: Katy Perry feat. Juicy J, “Dark Horse”
BEST MALE VIDEO: Ed Sheeran, “Sing”
BEST POP VIDEO: Ariana Grande feat. Iggy Azalea, “Problem”
MICHAEL JACKSON VIDEO VANGUARD AWARD: Beyonce
BEST HIP HOP VIDEO: Drake feat. Majid Jordan, “Hold On, We’re Going Home”
BEST ROCK VIDEO: Lorde, “Royals”
ARTIST TO WATCH: Fifth Harmony, “Miss Movin’ On”
BEST LYRIC VIDEO: 5 Seconds Of Summer, “Don’t Stop”
MTV CLUBLAND AWARD: Zedd feat. Hayley Williams, “Stay The Night”
BEST COLLABORATION: Beyonce feat. Jay Z, “Drunk In Love”
BEST DIRECTION: DJ Snake & Lil Jon, “Turn Down For What” (director: DANIELS)
BEST CHOREOGRAPHY: Sia, “Chandelier” (choreographer: Ryan Heffington)
BEST VISUAL EFFECTS: OK Go, “The Writing’s On The Wall”
BEST ART DIRECTION: Arcade Fire, “Reflektor”
BEST EDITING: Eminem, “Rap God”
BEST CINEMATOGRAPHY: Beyonce, “Pretty Hurts”
BEST VIDEO WITH A SOCIAL MESSAGE: Beyonce, “Pretty Hurts”

7. Kama uliona hizi picha zilizosambaa ukaamini ni ndoa ya Jaguar. @RealJaguarKenya
Jaguar aliandikwa na vyombo kadhaa vya habari Kenya kwamba amekwenda kufunga ndoa ya Mwanamke wa maisha yake nchini Afrika Kusini ambapo picha zilianza kusambaa toka wiki iliyopita.
 Jaguar amesema ni kweli wengi walidhani ni ndoa amekwenda kufunga ila ukweli ni kwamba hiyo ni video yake mpya ambayo inatoka Jumatatu ya leo August 25 2014.

8. Eminem Releases Full Version of 'Guts Over Fear' Feat. Sia

9. new music  Usher -  Believe me

10. MTV VMA 2014: Jay Z na Blue Ivy walipopanda jukwaani kumkabidhi Beyonce tuzo na ‘kiss’
Beyonce, Jay Z na binti yao Blue Ivy au waite The Carters, Jumapili (Agosti 24) kwenye tuzo za MTV VMA wameendelea kuthibitisha kuwa ni ‘happy family’ licha ya ripoti mbalimbali ambazo zimeendelea kutolewa kuhusu matatizo ya ndoa yao.Beyonce alishinda tuzo ya ‘Michael Jackson Video Vanguard Award’ kwenye tuzo za MTV VMA 2014.Lakini kubwa zaidi ni pale ambapo familia yake Jay Z na binti yao Blue Ivy waliopanda jukwaani na kumkabidhi (mke/mama) tuzo hiyo, kisha baba na mama wakapeana busu jukwaani. Queen Bey aliipokea tuzo hiyo akitoa machozi.

 

 11. 50 CENT NA FLOYD MAYWEATHER BEEF LAO LA KOLEA, 50 CENT AMJIBU TENA!

50 Cent and Floyd Mayweather, Jr.'s beef continues. On Saturday, August 23, the rapper responded to
the boxing champ's Twitter post in which he bragged about his money. Uploading a photo of his two checks, Mayweather captioned it, "Read this $72,276,000.00. God bless."

The "In da Club" rapper then wrote on Instagram, "I guess you want people to see your math is better then your reading. Get a account Floyd,the people around you are using you.if you mad at me call me or come see me." In the short expletive-filled clip, he said, "You put up a check? That must be for a blogger. N***a, you know I got money. Look b***h, the check say Golden Boy. That mean you work for.

No comments

Powered by Blogger.