Header Ads

CHRIS BROWN YAMTOKEA MAKUBWA, AKOSWA RISASI CLUB





 Image result for CHRIS BROWN

        Chris Brown akoswa kupigwa risasi na watu wasiojulikana ndani ya Club,
Chris Brown alikuwa host wa pre party ya VMA Awards ndani ya 10AK club
huko Hollywood. Kilichotokea kwenye hiyo party ni kupigwa risasi watu watatu na kukimbizwa hospitali akiwemo music producer Suge Knight.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kwamba risasi hizo zilikuwa na lengo la kupiga Chris Brown japokuwa Chris ameondoka akiwa salama kabisa.
Baada ya fujo hizo kutokea Chris Brown ali-tweet hivi

No comments

Powered by Blogger.