PETIT MAN AMUOA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ
Meneja
wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man (kushoto) akimvalisha
pete ya ndoa dada yake na Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia
leo.

Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless
Fame, Petit Man, amefunga ndoa ya Kiislamu na dada wa msanii wa Bongo
Fleva, Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo.
Post a Comment