LUIS SUAREZ AREJEA LIVERPOOL LEO KUKUANYA VIRAGO VYAKE NA KUMKABIDHI STEVEN GERRARD UZI WA BARCA
 Marafiki wameungana tena: Luis Suarez akiwa na Steven Gerrard (na jezi ya Barcelona) viwanja vya Melwood leo
MSHAMBULIAJI
 Luis Suarez amerejea kwenye viwanja vya mazoezi vya Liverpool katika 
siku ya leo ya mwisho ya usajili... lakini nyota huyo aliyehamia 
Barcelona kwa Pauni Milioni 75 alikwenda kuchukua mizigo yake tu.
Nyota
 huyo mwenye umri wa miaka 27 aliwasili akiwa na zawadi ndogo kwa Steven
 Gerrard - jezi ya Barca yenye nina lake- na Nahodha huyo wa Liverpool 
ameposti picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram.
Iliambatanishwa
 na ujumbe usemao: "Amekuja na zawadi kusema kwaheri kwa mtu muhimu 
asubuhi hii, namtakia mafanikio makubwa mchezaji,". 

Post a Comment