Ben Pol Afunguka Kuhusu Mipango ya Chini ya Kapeti

Ben Pol
Msanii
mkali kabisa wa R&B Bongo, Ben Pol ameweka wazi mipango ya chini ya
Carpet kufanya kazi na wasanii ambao wanafanya vizuri Afrika Mashariki,
akiwepo Sage, Rabbit, Anto Neosoul na Wengine ambao tayari
amekwishatengeneza nao 'networking' nzuri.
Ben
Pol amesema kuwa, kipindi ambacho michongo anayotengeneza na wasanii
hawa itakapokamilika atawajulisha mashabiki wake, akiamini kuwa
kitakachotengenezwa katika muunganiko huu kitaleta ladha nyingine kabisa
katika tasnia ya Burudani.

Rabbit (Kaka Sungura)

Sage

Anto Neosoul
SOURCE: EATV
SOURCE: EATV
Post a Comment