Header Ads

MDANANDA YAMTOKEA MAKUBWA AJUTA, MASHABIKI WAMPONDA KWA KUONYESHA MAKALIO YAKE




 
        Kupitia Instargram baadhi ya mashabiki wametokea kumponda jamaa huyu maarufu kwa jina la MDANANDA kwa style yake aliyoibuka nayo jana pale New Maisha club kwenye show ya Usiku wa Marafiki wa Diva.... Baadhi ya mshabiki walimdisi kuwa msanii huyu aliibuka na pozi la chooni wakidai Mdananda kaja KUNYA CLUB
                                                                   








No comments

Powered by Blogger.