Kijana mwenye miaka 4 akatwa mguu Kenya

Familia ya kijana mwenye umri wa miaka minne aliyepigwa risasi na polisi huko Mombasa inasema amekatwa mguu
Polisi nchini Kenya wamelaumiwa
kwa kumpiga risasi kijana mmoja mwenye umri wa miaka 4 aliyepigwa risasi
katika hali ya kutatanisha wakati wa mauaji ya mfanyibiashara Shahid
Butt huko Mombasa mwezi uliopita.
Mtoto huyo sasa amekatwa mguu wake .Familia ya mvulana huyo inasema kwamba serikali imewatelekeza licha ya kutoa ahadi chungu nzima.
SOURCE: BBC
Post a Comment