Header Ads

BASI LA HOOD TOKA ARUSHA KWENDA IRINGA LAPATA AJALI

Basi la Hood lililopata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha.




Wananchi wakishuhudia ajali ya basi la Hood ilivyotokea.
Basi la Hood lililokuwa likitoka Arusha kwenda Iringa limepata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha. Basi hilo lilitaka kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, ndipo katika kukwepana ikatokea ajali hiyo. Abiria wa basi wamenusurika , ila lori lilidumbukia darajani na hakukuwa na mtu aliyepoteza maisha.

No comments

Powered by Blogger.