Shilole
aka Shishi baby pamoja na baby wake Nuh Mziwanda usiku wa juzi katika
ukumbi wa Maisha Club kwenye show ya ‘Turn Down For What,’ walifanya
kile walichokifanya Jay Z na Beyonce juzi hiyo hiyo kwenye tuzo za MTV
VMA, yaani kuoneshana upendo hadharani kwa njia ya kula denda (kiss)
jukwaani.
Post a Comment