DKT. SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha
Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili katika Ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira alikuwa Naibu
Waziri wa Afya.
Waziri wa Afya.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Juma
Duni Haji kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano katika Ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Afya.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha
Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Afya,awali alikuwa Waziri wa
Miundombinu na Mawasiliano hafla ya kiapo imefanyika katika Ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar .
Post a Comment