Header Ads

HII NOMA! MASOGANGE AWAPACHAO WANAUME WANAOMFUATILIA, PELEKEA HABARI ZAKE KWA MPENZI WAKE WA SAUZI

 
Kama mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake yupo SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE anakifanya hapa mjini kumfikia jamaa yake huko SAUZI kupitia jamaa ambao wanampa ripoti zote kutoka hapa BONGO na hivyo kupelekea kuhatarisha penzi la MASOGANGE na huyo jamaa…MASOGANGE AMEAMUA KUFUNGUKA

KUPITIA UKURUSA WAKE WA INSTAGRAM

No comments

Powered by Blogger.