VIDEO: DR. ROBERT CHARLES GALLO, BINADAMU ALIYETENGENEZA VIRUSI VYA UKIMWI (AIDS)

Makala hii kweli inaleta kizunguzungu unaposikiliza. Sijui madocta mnasemaje juu ya hili swala. Kumbe Tanzania ndiyo ilikuwa ni center ya AIDS Africa? .Jitahidini hata msio Madokta msikilize kwani imeelelezea vizuri sana. Ila ukweli hata sijui. Na kama ni kweli basi hii ni Weapon of Mass Destruction kubwa kuliko hata Fussion bomb la Mrusi.
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI
Post a Comment