Header Ads

ETO'O AMALIZANA NA EVERTON, ASAINI KUICHEZEA KWA MIAKA MIWILI



Rasmi Samuel Eto’o Fils ,33, amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Everton.

Awali alikuwa ‘akinukia’ Liverpool ambayo baadaye iliamua kumtwaa Mario Balotelli na mkongwe huyo raia wa Cameroon, ametua kwa majirani zao Everton.
Msimu uliopita, ‘shemeji’ Eto’o alikipiga Chelsea ambako hata hivyo alionekana kutoiva vizuri na Jose Mourinho.

No comments

Powered by Blogger.