PICHA: MTU MMOJA MWENDESHA BAISIKELI AMEGONGWA NA GARI AINA YA FUSO NA KUPOTEZA MAISHA, IFAKARA MOROGORO
Mwili wa marehemu ukiwa eneo la ajali. Pembeni ni baiskeli yake.
MWENDESHA baiskeli ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza
maisha baada ya kugongwa na lori aina ya Fuso eneo la Kibaoni, Ifakara
mkoani Morogoro jana.
Marehemu anadaiwa kuwa ni mlinzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoani humo.
Post a Comment