MSANII AKOMBA VITU KWA BWANA’KE
Fatma Leonard 'akila kona'.
MSANII wa
filamu Bongo, Fatma Leonard wiki iliyopita alinaswa na paparazi wetu
akihamisha vitu vya ndani nyumbani kwa mpenzi wake huko Ubungo Makuburi
jijini Dar es Salaam akidai kuchoshwa na maisha bila ndoa. Hata hivyo,
paparazi lilikuta tayari mzigo wa fenicha umeshaondoka.
Msanii wa filamu Bongo, Fatma Leonard akifungasha virago kuianza safari.
Post a Comment