Header Ads

MAAJABU: TAZAMA MTI WA MAAJABU UNAOTOA MATUNDA YENYE UMBO KAMA LA BINADAMU

Duniani kuna maajabu, mti huu unaotoa matunda yenye umbo la binadamu huko nchini Thailand na kuzaa kila baada ya miaka 20. Haya ndiyo maajabu ya dunia, ukistaajabu ya Musa utaona ya mti huu wa maajabu.

No comments

Powered by Blogger.