Header Ads

HII MANCHESTER SASA IMEZIDI, YACHAPWA 4-0 NA TIMU YA DARAJA LA KWANZA!



MK Dons inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza England, imeichapa Manchester United kwa mabao 4-0.

MK Dons imeichapa mabao hayo katika michuano ya Kombe la Ligi iliyofanyika leo, United ikiwa ugenini.
William Grigg alifunga mabao mawili na Benik Afobe akamalizia mawili na kuizamisha Man United na Louis van Gaal na msaidizi wake Ryan Giggs.

Mabao waliyofungwa Manchester yalikuwa 'laini' kutokana na ukuta kuwa mbovu hivyo kuruhu washambuliaji wa MK Dons ambayo ilishika nafasi ya 10 katika Ligi Daraja la Kwanza msimu uliopita, kumjaribu kila wakati David De Gea.


MK DONS VS MANCHESTER UNITED
MK DONS XI: Martin, Baldock, Lewington (c), Kay, McFadzean, Alli, Potter, Bowditch, Reeves, Carruthers, Grigg
SUBS: McLoughlin, Spence, Green, Randall, Powell, Hitchcock, Afobe
MANCHESTER UNITED XI: De Gea, M Keane, Evans (c), Vermijl, James, Powell, Janko, Anderson, Hernandez, Kagawa, Welbeck
SUBS: Amos, McNair, Thorpe, A Pereira, Januzaj, Zaha, Wilson

No comments

Powered by Blogger.