Header Ads

CHEKA KIDOGO: Insha ya Kiswahili ya Omondi



Omondi alipatiwa mtihani wa insha iliokuwa inaanza hivi: Nilipofika nyumbani nilimpata mama amepigwa na butwaa na bumbuwazi... (endeleza)

Omondi akaendelea... Kitu ya kwanza mimi nafanya naenda kwa kina butwaa... namtwanga butwa! Natwanga yeye lakini siuwi, sababu yeye ndio tapeleka mimi kwa bumbuazi niulize yeye kwanini walipiga mama yangu.

No comments

Powered by Blogger.